Tahadhari ya Kiafya – Ongezeko la visa vya COVID-19

Tahadhari ya Kiafya – Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam (10 Februari,2021) Mahali:Tanzania Tukio:Ongezeko la visa vya COVID-19 Ubalozi wa Marekani unafahamu kuwa pamekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya visa vya COVID-19 toka mwezi Januari 2021. Aidha, hatua za kuondosha na kuzuia maambukizi ya COVID-19 bado zimeendelea kuwa za kiwango cha chini.  Serikali ya ... Read More»
Show More ∨