Siku 16 Dhidi Ya Ukatili Wa Kijinsia

Shukrani kwenu Bi. Tike Mwambipile (TAWLA), Bi. Judith Odunga (Mratibu wa zamani wa WILDAF), Bi. Naemy Sillayo (Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu) na Bi. Edda Sanga (TAMWA) kwa kuungana nasi hapa Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam kujadili jinsi tunavyoweza kutokomeza Ukatili dhidi ya wanawake na wasichana!     Tufuatilie kwenye tovuti …

Read More»

Wafanyakazi Wa Kujitolea Wa Kimarekani Wa Peace Corps Hamsini Na Moja (51) Wa Sekta Za Afya Na Kilimo Waapishwa

Wafanyakazi wa kujitolea wa Kimarekani wa Peace Corps wapatao 51 wamekula kiapo cha utumishi wa miaka miwili nchini Tanzania katika hafla maalum iliyofanyika leo katika ofisi za Peace Corps jijini Dar es Salaam. Wafanyakazi hawa watakaohudumu katika sekta za afya na kilimo watapangiwa kufanya katika wilaya 20 nchini, ikiwa ni pamoja na wilaya za Iringa, …

Read More»

Ubalozi wa Marekani wazindua filamu fupi kuhusu ulinzi wa wanyamapori Tanzania

Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanyamapori, tarehe 3 Machi 2015, Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam leo hii umezindua filamu fupi inayoangazia umuhimu wa hifadhi ya wanyamapori nchini Tanzania na haja ya kuongeza jitihada za kukabiliana na ujangili¬† na uhifadhi wa wanyamapori. Filamu hii inapatikana katika tovuti ya YouTube kwa anuani ifuatayo https://www.youtube.com/watch?v=rwSVt4tkb0Q , …

Read More»
Show More ∨