Vitu Vinavyoruhusiwa na Visivyoruhusiwa Ubalozi wa Marekani

Wageni wanaohitaji huduma za konsula hawaruhusiwi kuingia na vitu vyao binafsi vifuatavyo ndani ya ubalozi. **TAARIFA MUHIMU—Kuanzia 15 Mei, 2018, Ubalozi hautahifadhi mali zozote binafsi za wageni wanaohitaji huduma za konsula.  Wageni wanatakiwa kuacha vitu visivyoruhusiwa na ubalozi nyumbani au kutafuta utaratibu mwingine mbadala wa jinsi ya kuhifadhi vitu hivyo. Vifaa/vitu vifuatavyo haviruhusiwi na havitahifadhiwa …

Read More»
Show More ∨