Taarifa kuhusu Mpango wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR) nchini Tanzania

Muhtasari: PEPFAR ni mpango maalumu wa Serikali ya Marekani wa kusaidia kuokoa maisha ya watu wanaoishi na VVU/UKIMWI duniani kote.  Mpango huu wa kihistoria ni mkubwa zaidi ya mpango wowote uliowahi kuendeshwa na nchi yoyote duniani katika kukabili ugonjwa mmoja kimataifa.  Mpango wa PEPFAR huongozwa na kuendeshwa na majukumu ya pamoja kati ya nchi wafadhili na nchi …

Read More»

Warsha ya Muziki na Ujasiriamali kwa wanamuziki wa Kitanzania

Muziki ni furaha, muziki ni burudani, muziki ni njia ya kueleza hisia, muziki ni nyenzo muhimu ya kuelimisha, kuonya, kuelekeza na kuihamasisha jamii katika masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kiimani.  Toka enzi na enzi, muziki umekuwa si tu kielelezo cha tamaduni za binadamu, bali pia nyenzo ambayo binadamu anaitumia kurithisha utamaduni, desturi …

Read More»

Hotuba ya Kaimu Balozi Dk. Inmi Patterson – Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

Ukumbi: Morena Hotel – Dodoma 3 Mei 2019 Ningependa kuungana na wenzangu hapa leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa familia na marafiki wa Marehemu Dr. Reginald Mengi. Katika tulivyosema jana kwenye mitandao ya kijamii, wajibu wa Dr. Mengi katika kuendeleza ukuaji na maendeleo ya Tanzania haupimiki, pia kama ulivyo mchango wake kwa vyombo vya …

Read More»
Show More ∨