Siku 16 Dhidi Ya Ukatili Wa Kijinsia

Shukrani kwenu Bi. Tike Mwambipile (TAWLA), Bi. Judith Odunga (Mratibu wa zamani wa WILDAF), Bi. Naemy Sillayo (Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu) na Bi. Edda Sanga (TAMWA) kwa kuungana nasi hapa Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam kujadili jinsi tunavyoweza kutokomeza Ukatili dhidi ya wanawake na wasichana!

 

 

Tufuatilie kwenye tovuti yetu ya Facebook https://www.facebook.com/tanzania.usembassy na ya Twitter https://twitter.com/amembtz ili ushiriki katika majadiliano katika kipindi hiki cha #Siku16DhidiYaUkatiliwaKijinsia kwa mwaka 2018.