Video ya Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk Inmi Patterson akiaga

Kaimu Balozi wa Marekani nchini Dk. Inmi Patterson amemaliza kipindi chake kama mwanadplomasia nchini Tanzania!  Tunakukaribisha usikilize simulizi yake ya mambo atakayoyakumbuka sana kutokana na utumishi wake hapa Tanzania!